Languages فارسی فارسى درى English اردو Azəri Bahasa Indonesia پښتو français ไทย Türkçe Hausa Kurdî Kiswahili Deutsche РУС Fulfulde Mandingue
Scroll down
Visa-vya-ukweli

MFAHAMU MTUME MUHAMMAD S.A.W

2021/01/10

MFAHAMU MTUME MUHAMMAD S.A.W

Huu ndio mwezi mtukufu alifariki mtukufu mtume s.a.w alifariki mwaka wa kumi na moja hijria historia hii inatoka katika vitabu na si maneno ya mtu binafsi hivyo tutaandika na vitabu rejea pia maana tutakayo yaandika ktk maqalatuna yatoa ktk jiji la elimu kuptia mlango wake 

Mtume Muhammad s.a.w alisema  انا مىدينة العلم وعلي بابها kwamba Mimi ndie mji wa elimu na Ally ndie mlango wake 

rejea Mustadrakul hakim gz 3 uk 126.128.226  pia rejea Riyadh nadhariy jz 1 uk 129 dhakhayrul uqba uk 77 na vitabu vingine vingi inapatikana hadithi hii ni sahihi imethibitishwa pia na ndugu zetu wa ahlu sunnah waljamaa 

maqala hii itaendelea