Languages فارسی فارسى درى English اردو Azəri Bahasa Indonesia پښتو français ไทย Türkçe Hausa Kurdî Kiswahili Deutsche РУС Fulfulde Mandingue
Scroll down

Kutuhusu

kwa jina la Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu

Hadi TV Global Network ni shirika lisilo la kibiashara ambalo lilianzishwa mnamo 2004

Lengo kuu la taasisi hii ni kueneza mafundisho ya kweli ya Ahlul-Bayt (amani iwe juu yao) katika lugha tofauti miongoni mwa mataifa mbalimbali ya dunia. Hivi sasa, taasisi hii inafanya kazi katika lugha 15 na inatoa uzalishaji wake kwa watazamaji katika mfumo wa chaneli 8 za runinga